Yaliojiri VPL 12.04.2015, Yanga vs Mbeya City

Yani hawa mcc wanapiga mpira mkubwa sana leo.Tatizo ni hiyo minoti ya muhindi waliyopewa jana jioni ili wasiifunge Yanga,so ngoma itaisha kwa droo,ikitokea tofauti 'nibandueni'
 
Leo yeboyebo lazima wapigwe,hao vijana me nawajua ni full kukimbiza mpaka dak za nyongeza.
 
Canavaro bado anazidi kujiwekea record ya pekee duniani. Ni beki pekee mwenye magoli mengi ya kufunga, ni mchezaji pekee duniani kuwa captain wa timu 3
 
Ahahahahaaaa.
Jamani,hivi hao waarabu ninao waona hapo jukwaani si wale wa Etoile Du Sahel kweli?
Mmekwishaaaaaaaaa!
Wanasubiri na Ngasa aingie ili wafunge vitabu vyao.

Nenda kalale
 
Them felix mfungaji goli wa Mbeya city amepewa kadi ya nyekundu
 
Canavaro bado anazidi kujiwekea record ya pekee duniani. Ni beki pekee mwenye magoli mengi ya kufunga, ni mchezaji pekee duniani kuwa captain wa timu 3

hilo goli amelifungaje fungaje captain canavaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…