Yaliojiri VPL 12.04.2015, Yanga vs Mbeya City

kafie mbali Huna lolote..vip kuhusu ile red cad ya stand utd plus dakika 105 Za kupewa ili muihujum stand utd lakin mkaishia kuchomekwa kidude

Mkuu mashabiki wa mikia hawana akili hivyo kuendelea kubishana nao ni sawa kujiambukiza ujinga wao kwenye ubongo wako.
 

naona mnakomaa na ubingwa tu..
 
Hii MCC haina lolote lazma leo wakalie mwezi na ndo dozi iliyobakia kwa sasa Sherman kpah karudi fomuni ngassa anakimbiza kama kakodiwa
 
Mechi ya kipuuuuuuzi.
Na log off!

Yani hawa mcc wanapiga mpira mkubwa sana leo.Tatizo ni hiyo minoti ya muhindi waliyopewa jana jioni ili wasiifunge Yanga,so ngoma itaisha kwa droo,ikitokea tofauti 'nibandueni'

Kiongozi uliweka ahadi hapo Please usitoke kwanza kabla hatujakubandua. Au kuna mtu anaenda kuanza so sisi tusubirie
 
Mwigulu Nchemba yupo uwanjani anashangilia sana Yanga muda wote
 
Mwigane Yeya wa Mbeya city anaingia badala ya Paulo Nonga
 
Kama wewe ndio shabiki wa INTANESHINO FC gonga like nikujue..

Na kama wewe ni wa MCHANGANI FC ni vyema upite tu, hata reply yako Sihitaji
........!

Hahahaaa haya nimegonga like DemiGod
Sidhani kama hunijui!
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi uliweka ahadi hapo Please usitoke kwanza kabla hatujakubandua. Au kuna mtu anaenda kuanza so sisi tusubirie

nipo hapa DAKA MTUMBA hapa nambandua kavu kavu. Namalizia la mwisho nimfute na nijifute ili aje kwenu mumfanye mtakavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…