Yalionikuta leo ni zaidi ya Yona alivyo mezwa na samaki


Bonge la story.

Smartphone ulii acha wapi mkuu?
 
Ningelikuwa ni wewe, ningeandaa sadaka ya shukrani kwa sababu hujui Mungu kakuepusha na nini. Nadhani ilikuwa siku yako ya kilio kwani ndo maana Mungu akakufinya japo kidogo tu ukome kutafuta vijisichana vya watu. Pole lakini
Asante mkuu .ndo hivyo sikujua.majuto mjukuu
 
Pole sana ila labda ungeenda kanisani ungekutana Na mahubiri ya uongo Na sadaka zisizo maagizo ya
Mungu
Shukuru kwa kila jambo
 
Na labda Mungu kakuepusha pia na jambo baya ambalo ungelipata kupitia huyo binti.. inabidi umkimbie kabisaaaa na namba yake uifute.
Pole
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…