Yalionikuta leo ni zaidi ya Yona alivyo mezwa na samaki

Ama kweli umeniacha hoi, ulipotumbukia kwenye maji na kuacha kichwa Kama mjusi aliyetumbukia kwenye maji bado nyuki wanashambulia kichwa, ukajitoa tena mkuku, pole sana. Hawajatumwa ila walifuata harufu yao ya kunukia. Msichana hana kosa kwani hata ungeenda kanisani bado nyuki wangefuata harufu
 
Hapo huna haja ya kupewa Pole mkuu,bali wewe ndo umshukuru mungu,amekuonesha kitu.
 
Nilipoona huo mkanda nilicheka na uchovu wote ukaisha jinsi askari nyuki walivyoshirikiana wakakufuata mpaka kwenye dimbwi. Pole mkuu ni harakati za maisha katika hii dunia, kuna wa kutumwa lakini wale walifuata harufu nzuri. Vipi demu kakupa pole? Speed yako mpaka kwenye dimbwi 100 km per hour
 
Smartphone imeponaje ulivyokuwa umo ndani ya dimbwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…