jambo Tanzania
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 377
- 281
karibu uje kujionea tomasoStory tu!
Kila la kheri mkuu .. pole sanaAngalau naendelea vizuri dadaa ila bado nipo ndani tu Mungu akisaidia labda kesho ndo nitaweza kutoka
Apana sina Mkuu.mgenicheka sanaHahahaha mkuu pole sana huna picha ya ulivyovimba
Asante Mkuu.ukipata kamuda usisahau kunitembelea mgonjwa .na matunda na poko poko njaliKila la kheri mkuu .. pole sana
Una wine ndani nikuletee matunda?Asante Mkuu.ukipata kamuda usisahau kunitembelea mgonjwa .na matunda na poko poko njali
Teh teh teh tunacheka kidogo mkuuApana sina Mkuu.mgenicheka sana
Hapana sina imeisha.nilifakamia mafunda makubwa ya hasira ya maumivu hahaha.niletee tuUna wine ndani nikuletee matunda?
Basi pole me sijiHapana sina imeisha.nilifakamia mafunda makubwa ya hasira ya maumivu hahaha.niletee tu
Aikambeee missBasi pole me siji
Ungefanya hivi ungeenda ibadani kwanza alafu ndo uende kwa hako kabinti[emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo asubuhi niliamka vizuri kujiandaa kwenda ibada.wakati naendelea kujiandaa kuna binti akanitumia ujumbe kwamba anaitaji kushinda na Mimi siku ya leo .Mara papuu roho ikadunda ni kweli au ananitania maana nilishamjaribu kama Mara moja akazingua basi nikala hamsini zangu.nikamuendea hewani nikacomfirm yupo serious.shetani ana mbinu,
sikukumbuka tena ibada
.nikajiandaa kwenda tulipopanga.wakati natoka ghafla nyuki wakanivamia kumbe walikua kuna mti wanahamia sasa na harufu ile ya perfume sujui waliniona Mimi maua.walinivamia wengi .nikaona sasa wataniua washenzi hawa.nikajirusha kwenye dibwi la maji machafu ya mvua ,kila nikanyanyua kichwa wapo juu wananikwidaa sijui walitumwa.ikabidi nitoke mbio kukimbia nisipojua.mpaka sasa nimevimba uso jicho linaona kwa shida .Shetani kaniponza .Maturu mwili mzima.mpaka najiuliza hivi yona alivyomezwa na Samaki aliumia kama Mimi?yule binti badae kumtafuta kumwambia aniletee dawa za maumivu ,kaniandikia"nyoo si ungesema Una hela ya kutoka pamoja,ovyoo".maumivu Mara mbili.hawa mabinti hawa.ningekwenda ibada yote yasingenikuta.sasa nimejifungia ndani na ugulia maumivu.Jioni njema
HayaAikambeee miss
Haaaahaaahaaaa mungu amekuonaLeo asubuhi niliamka vizuri kujiandaa kwenda ibada.wakati naendelea kujiandaa kuna binti akanitumia ujumbe kwamba anaitaji kushinda na Mimi siku ya leo .Mara papuu roho ikadunda ni kweli au ananitania maana nilishamjaribu kama Mara moja akazingua basi nikala hamsini zangu.nikamuendea hewani nikacomfirm yupo serious.shetani ana mbinu,
sikukumbuka tena ibada
.nikajiandaa kwenda tulipopanga.wakati natoka ghafla nyuki wakanivamia kumbe walikua kuna mti wanahamia sasa na harufu ile ya perfume sujui waliniona Mimi maua.walinivamia wengi .nikaona sasa wataniua washenzi hawa.nikajirusha kwenye dibwi la maji machafu ya mvua ,kila nikanyanyua kichwa wapo juu wananikwidaa sijui walitumwa.ikabidi nitoke mbio kukimbia nisipojua.mpaka sasa nimevimba uso jicho linaona kwa shida .Shetani kaniponza .Maturu mwili mzima.mpaka najiuliza hivi yona alivyomezwa na Samaki aliumia kama Mimi?yule binti badae kumtafuta kumwambia aniletee dawa za maumivu ,kaniandikia"nyoo si ungesema Una hela ya kutoka pamoja,ovyoo".maumivu Mara mbili.hawa mabinti hawa.ningekwenda ibada yote yasingenikuta.sasa nimejifungia ndani na ugulia maumivu.Jioni njema
Pole sana
Najuta Mkuu.tatizo akili ilihamia kwenye kichwa cha chiniUngefanya hivi ungeenda ibadani kwanza alafu ndo uende kwa hako kabinti[emoji23] [emoji23] [emoji23]