Ujambo..! My sweetie..[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukome kuacha kanisa
Sijambooo..i miss u[emoji85]Ujambo..! My sweetie..
Reaally...! Serioussly???Sijambooo..i miss u[emoji85]
Yaap..kweliiiReaally...! Serioussly???
Asante sana..!Yaap..kweliii
Ata yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi .na anasema japokua dhambi zenu ni nyekundu kama damu zitakua nyeupe kama theluhi.only God can judge meWewe ni mzinzi sasa ibada unaendaka kufanya nini maana Mungu uwa hasikii maombi ya watenda dhambi Isaya 1:16-19
Mimi pabaya paliniita tayari.sitakubal tenaWahenga walisema" mkataa pema pabaya panamwita"
Na kweli .ashindwe na alegee.asante dadaaShetani anajua kuvutia tena hasa hasa akiona kuna kitu unakipenda ambacho hakimpendezi Mungu anakipamba ukisha nasa tuu, anatoka nduki kama hakujui,Mungu atusaidie na pole