Yalitokea Yanga pia yaweza kuyapata Simba

Wakuu habar,mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana yanga kufungwa na ihefu Kyle mbarali

Ila yaliyotokea kwa yanga mbarali yanaweza kutokea kwa simba Mbeya sokoine stadium

Nipo hapa nasubir hili kwa usikivu mkuu kabsaaa
Ikiwa usemacho kitatokea naomba uniwekee akaunti yako PM nitakutumia milioni nne .

Note , sasa hivi nina hela sana maana nimeshinda kesi ya urithi , potezea komenti hii ukose bahati hii.
 
Ikiwa usemacho kitatokea naomba uniwekee akaunti yako PM nitakutumia milioni nne .

Note , sasa hivi nina hela sana maana nimeshinda kesi ya urithi , potezea komenti hii ukose bahati hii.
Sawa mkuu ata ukinitumia kiasi gani ilimradi utimize ahadi yako tu
 
Wakuu habari, mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana Yanga kufungwa na Ihefu Kyle Mbarali.

Ila yaliyotokea kwa Yanga Mbarali yanaweza kutokea kwa Simba Mbeya Sokoine stadium.

Nipo hapa nasubiri hili kwa usikivu mkuu kabisaaa.
Nipo hapa nasubiri hili kwa usikivu mkuu kabisaaa.[emoji23]
Subira yavuta kheri.. Naona yako imevuta mjani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We utopolokwinyo rudi tena hapa uendeleze ngonjera zako
 
Attachments

  • 1696518520414.jpg
    81.9 KB · Views: 1
Your browser is not able to display this video.
 
Karibu sana Jamii Forum.

JITAHIDI KUFICHA UPUMBAVU WAKO USIUONESHE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.

Fikicha AKILI.
 
Wakuu habari, mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana Yanga kufungwa na Ihefu Kyle Mbarali.

Ila yaliyotokea kwa Yanga Mbarali yanaweza kutokea kwa Simba Mbeya Sokoine stadium.

Nipo hapa nasubiri hili kwa usikivu mkuu kabisaaa.

Mkuu uchawi sio lazima ubebe tunguli..... hata huu wako ni uchawi kama uchawi mwingine [emoji23][emoji23]
 
Wakuu habari, mwenzako akinyolewa zako tia maji na tumeumia sana Yanga kufungwa na Ihefu Kyle Mbarali.

Ila yaliyotokea kwa Yanga Mbarali yanaweza kutokea kwa Simba Mbeya Sokoine stadium.

Nipo hapa nasubiri hili kwa usikivu mkuu kabisaaa.
Vipi mimba imetoka au bado unagugumia kwa uchungu?Ihefu wamefanya jambo zuri sana vichaa wameongezeka sana kutokea jana.Hivyo Mirembe itapata wagonjwa wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…