kama ni hivyo basi ujue mlikuwa wengi wa type yako.Jamani ,
Kijana mtanashati na vijicent vyangu vya kudunduliza nikaamua kujitutumua kumtoa valentine wangu
nimpeleke sehemu za haya mahotel ya wawekezaji tupate dina .
Unaweza amini tumezunguka hotel kama tatu kote tunaulizwa kama tulibook na hatukupata nafasi
tukaishia kwenda kula nyama choma sehemu.
Nimejiuliza ni hawa hawa wa TZ waliojaa ktk mahotel haya au ni hawa wawekezaji na familia zao?
Je ndugu yangu wewe umekutana na nini jana?
kama ni hivyo basi ujue mlikuwa wengi wa type yako.
Lol....Wewe ulikuwa unatafuta nini huko? au ni muathirika wa mafuriko.
kama ni hivyo basi ujue mlikuwa wengi wa type yako.