Yaliyo nipata jana na valentine wangu

Mi sjaenda huko! Ila nikuulze minor question tu! Hiv huna kwako mpaka uende huko kwenye nyumba za wagen? Namwonea huruma huyo valentn wako! Pole sn kwa kutokua na kwako.
 
Pole sana! siku nyingine jitahidi kufanya window shopping kwanza kwenye hayo mahotel kabla hujapeleka mtu wako!!! hii huabisha sana!!!
 
Mi sjaenda huko! Ila nikuulze minor question tu! Hiv huna kwako mpaka uende huko kwenye nyumba za wagen? Namwonea huruma huyo valentn wako! Pole sn kwa kutokua na kwako.

Nadhani hamjamuelewa huyu kija alienda kula hotelini si hayo mambo yenu mnayofikilia.
Mahotel mengi mazuri ni ya wawekezaji
 
Hata mie nilienda coral beach nikakuta wahindi wanfolenisha watu kuingia katika kaukumbi kao kanje kale huku wakiingiza wakio book meza na waliobook kuwepo jioni hiyo.

Si viumbani bali nje kulikuwa na mziki na chakula na kaglass ka shampaign unalipa 55 000 tu per head
 
Pole sana mkuu,
mimi na wangu huwa tunaenda hayo mahoteli makubwa kila tunapojisikia na sio kusubiri siku ya valentine.
 
Watu wamegeuza Valentine ni siku ya ku-T- ana! watanzania ndivyo walivyo!
 
Pole sana mkuu,
mimi na wangu huwa tunaenda hayo mahoteli makubwa kila tunapojisikia na sio kusubiri siku ya valentine.

Sisi wengine hadi kuwa nasiku maalum kama hiyo na si lazima hapo mfuko unaporuhusu na unafuraha ya kujispoil japo kwa kosi tano za msosi
 
Pole sana mkuu,
mimi na wangu huwa tunaenda hayo mahoteli makubwa kila tunapojisikia na sio kusubiri siku ya valentine.
kama sisi.............
valentino tulikaa nyumbani, kuwaonyesha watoto wetu tunavyopendana
 
hizo hotel huwa hazifunguliwi siku ya valentine watumiaji wengi ni walio kwenye ndoa, siku hiyo kwao ni ya kuwadanganya wenzi wao kuwa hawawasaliti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…