Uchaguzi 2020 Yaliyojijiri katika uzinduzi wa Kampeni za Prof. Kitila Mkumbo

Uchaguzi 2020 Yaliyojijiri katika uzinduzi wa Kampeni za Prof. Kitila Mkumbo

rajab degi

Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
7
Reaction score
5
Leo mgombea ubunge wa Jimbo la ubungo kwa tiketi ya CCM, ndugu Prof. Kitila Mkumbo amefanya Mkutano wake wa kwanza wa uzinduzi katika viwanja vya #EPZA na haya ndio yaliyojiriView attachment 1558496View attachment 1558493View attachment 1558495View attachment 1558494View attachment 1558498View attachment 1558497
IMG-20200904-WA0010.jpg
 
JIWE na genge lake kwa kutojiamini wamefanya mbinu zao chafu Jacob asipitishwe ili huyu boya wao apite kwa urahisi!!! Kama kweli mnajiamini tume irudishe jina la Jacob halafu tuone kama JIWE na watu wake ni wanaume kweli!
Jacob hakuwekewa pingamizi na ccm
 
Kitila apata aibu kubwa mkutanoni, ni baada ya kuwauliza akina Mama kama wana maji, wakamjibu Ndio! Alitegemea jibu la hapana ili amu-outsmart Mnyika na Chadema....kaumbuka
 
Attachments

  • VID-20200904-WA0001.mp4
    1.1 MB
JIWE na genge lake kwa kutojiamini wamefanya mbinu zao chafu Jacob asipitishwe ili huyu boya wao apite kwa urahisi!!! Kama kweli mnajiamini tume irudishe jina la Jacob halafu tuone kama JIWE na watu wake ni wanaume kweli!

Kamanda Nyumbu uwe unauliza kwanza...Waulize ACT nani kamuwekea Jacobo pingamizi?
 
Back
Top Bottom