Uchaguzi 2020 Yaliyojijiri katika uzinduzi wa Kampeni za Prof. Kitila Mkumbo

JIWE na genge lake kwa kutojiamini wamefanya mbinu zao chafu Jacob asipitishwe ili huyu boya wao apite kwa urahisi!!! Kama kweli mnajiamini tume irudishe jina la Jacob halafu tuone kama JIWE na watu wake ni wanaume kweli!
Jacob hakuwekewa pingamizi na ccm
 
Kitila apata aibu kubwa mkutanoni, ni baada ya kuwauliza akina Mama kama wana maji, wakamjibu Ndio! Alitegemea jibu la hapana ili amu-outsmart Mnyika na Chadema....kaumbuka
 
Attachments

  • VID-20200904-WA0001.mp4
    1.1 MB
JIWE na genge lake kwa kutojiamini wamefanya mbinu zao chafu Jacob asipitishwe ili huyu boya wao apite kwa urahisi!!! Kama kweli mnajiamini tume irudishe jina la Jacob halafu tuone kama JIWE na watu wake ni wanaume kweli!

Kamanda Nyumbu uwe unauliza kwanza...Waulize ACT nani kamuwekea Jacobo pingamizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…