Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 11 Machi 2014

Anaitwa Tundu Antipasi Mughwai Lissu jabari na gwiji la sheria hata Makinda na Ndugai wanajua hilo. Hongera Tundu Lissu
 
Hawa waganga njaa wa Lumumba huwa wanamwita TL kichaa, sasa mbona mabosi wao wanamsifia sasa.
 
ccm hawana pesa ya kumpa mboe mtoa maada nenda kawadanganye watoto wenzio humu kuna watu tunaheshima zetu pia kumbuka humu wote hawategemei buku7 waish

basi limeandikwa lumumba, umepanda la nn?
 
Mbowe ni mchaga na katumwa pesa piga pesa acha ujinga broo mbowe maana wangepiga kura ingepita tuu

Mkuu yuko na lipumba mnyamwezi na washikaji zake wa cuf hapo (UKAWA) Ushabiki bila akili ovyo
 
Ikiwa kura ya kumchagua Mwenyekiti wa Kudumu wa Bunge la Katiba ilikuwa ya 'kificho' kwanini wanang'ang'ania kura ya maamuzi iwe ya dhahiri'
Watu wa ajabu sana hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…