Mkuu wa Kaya kwanza naomba nikusahihishe kuwa hakuna mahqli nimejiita kuwa ni mjumbe wa Bunge Maalum. Juzi nilikujibu kuwa mie si mbunge. Nipo hapa kwa lengo moja tu la kuhudhuria kikao cha Bunge kwa muda Mungu atanijaalia. Nilisema kuwa Simiyu Yetu ndo mbunge kwa mujibu wa maelezo yake. Hata ukiangalia picha zote ninazochikua nazichukua nikiwa nimekaa huku juu wanakokaa wageni na waandishi wa habari. Sijui hasa unatafuta nini mkuu
Amani kwako mkuu chabruma tupo pamoja kwenye hili jukumu hongera sana kwa kutuwekea post mada vizuri twende pamoja mkuu.Hodi Hodi Wadau wote wa Mtandao wetu pendwa, mtandao nambari one Tanzania, mtandao usio na mafungamano yoyote, Mtandao wa Jamiiforums! Natumaini kuwa leo mmeamka salama bukheri wa afya njema. Wale wote ambao kwa bahati mbaya hali zao kiafya si nzuri basi tuwaombee kwa Mwenyezi Mungu awajaalie wapate nafuu ili angalau wapate fursa ya kuchungulia humu juu ya yale yanayoendelea Bungeni Dodoma. Na kama kuna waliotangulia mbele za haki, basi tuwaombee kwa Mwenyezi Mungu awajaalie makazi mema huko.
Wadau, kwa siku ya leo kama Mwenyekiti Pandu Amir Kificho alivyotangaza jana ni kuwa Bunge Maalum litaanza saa 3 kamili asubuhi na kazi itakuwa moja tu ambayo ni KURIDHIA RASIMU YA KANUNI ZA BUNGE MAALUM baada ya kusomwa kwa AZIMIO na Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni Prof MAHALU. Kwa leo tutarajie hali ya utulivu kuendelea kutamalaki hasa kutokana na jitihada kubwa zinazofanywa na Kamati ya Mashauriano ambayo kiukweli imefanikiwa kuweka mazingira ya utulivu Bungeni.
Kama Kawaida, natarajia kupata ushirikiano kutoka kwa wadau wetu mbalimbali waliopo ndani na nje ya nchi. Kwa upekee kama kawaida Mkuu Skype pamoja na Mheshimiwa Simiyu Yetu watakuwa wanatoa ushirikiano uoahitajika. Stay aconnected
View attachment 144117
Mkuu, labda kama una jambo jingine. Ila katika hili nipo wazi kabisa na sijawahi kudanganya. Labda utoe huo ushahidi wa kudanganya kwangu.Mkuu kwa mtu mwenye akili timamuni lazima amuunge mkono Chabruma kwa kazi nzuri anayoifanya. Ila kumdanganya Great thinker ni kujidanganya mwenyewe. Na ndio maana wahenga walisema
MGEMA AKISIFIWA TEMBO HULITIA MAJI?
Mkuu pengine unalako jambo unaweza kutwambia wapi kadanganya.Mkuu kwa mtu mwenye akili timamuni lazima amuunge mkono Chabruma kwa kazi nzuri anayoifanya. Ila kumdanganya Great thinker ni kujidanganya mwenyewe. Na ndio maana wahenga walisema
MGEMA AKISIFIWA TEMBO HULITIA MAJI?
Mkuu, ndo aina ya watu tulionao hawa. Tuwavumilie tu Mkuuhivi huyu anaye hoji kama wewe ni mjumbe au mtazamaji hasa lengo lake nini hasa? kama taarifa za mjengoni anapata tena zilizo sahihi, kunavitu vingine mimi naona si vya lazima sana.
Ni kweli mkuu mwanzo nilichelewa kidogo nilikuwa nasikiliza azimio lililokuwa linasomwa na mahalu.Nashukuru Mkuu. Kumbe upoooo? Leo mmekuwa adimu sana Waheshimiwa. Hata mkuu Skype ​leo simuoni
Mkuu wa Kaya kwanza naomba nikusahihishe kuwa hakuna mahqli nimejiita kuwa ni mjumbe wa Bunge Maalum. Juzi nilikujibu kuwa mie si mbunge. Nipo hapa kwa lengo moja tu la kuhudhuria kikao cha Bunge kwa muda Mungu atanijaalia. Nilisema kuwa Simiyu Yetu ndo mbunge kwa mujibu wa maelezo yake. Hata ukiangalia picha zote ninazochikua nazichukua nikiwa nimekaa huku juu wanakokaa wageni na waandishi wa habari. Sijui hasa unatafuta nini mkuu