Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Ingekuwa hivyo CCM wasingesubiri maridhiano. Wangetumia wingi wao kushinikiza ipigwe kura, wazi au siri, kuamua kama kura iwe ya wazi au ya siri. Kwamba wameendelea kushauriana na wachache hadi maridhiano inaonyesha kuwa tuko nao pamoja wala si shetani.
Swali langu ni ikiwa wanakubaliana kutokukubaliana kimsingi na ikaenda kupitishwa hiyo kura ya wazi nani alaumiwe?
Kweli mkuu mama kaongea maneno ya hekma sana ni miongoni mwa wanawake wenye hekima sana kwenye bunge hili.Mheshimiwa Anna Abdallah anaongea. Anawananga wale waliokuwa wanasma kuwa wqnakula posho bure. Anaipongeza Kamati ya Kanuni kwa kazi nzuri waliyofanya. Anampongeza na kumshukuru mwenyekiti kwa uvumilivu. Anawaomba wabunge kupitisha kanuni hizo
Mh panya ally abdalla naye anapata fulsa ya kutoa neno naye anaanza kwa kutoa shukrani kwa kamati ya kanuni pamoja na kamati ya mashauriano kwa kazi yao nzuri.
Anaamini hekima amabayo mungu amemjalia mwanadamu ndiyo zituongoze kutekeleza majukumu yaliyombele yetu.
Mkuu hapa hakuna habari ya vyama tunatunga katiba ya watanzania mhona unataka tuanze kujadili vyama na siasa kama unataka siasa nenda kalenga na chalinze.Thubutu, ingekuwa kwa uwingi wao pekee, wangeforce kiurahisi na kushinda! Inapokuja issue ugumu wa safari ni pale 2/3 yaani theluthi mbili kati ya Zanzibar na 2/3 Tanganyika. Sasa kule Zanzibar CCM na CUF ni almost 50/50, hivyo imewalazimu tu kufanya maridhiano, hakukuwa na namna, na wala si tu kwa rasimu ya kanuni, bali hata Rasimu kuu yenyewe!
Askofu amemaliza kusoma dua na sasa ni zamu ya Sheikh Norman Jongo
Siyo tu alaumiwe, sema nani tumuadhibu!
Kweli mkuu mama kaongea maneno ya hekma sana ni miongoni mwa wanawake wenye hekima sana kwenye bunge hili.