Mimi kama mmoja wa wananchi kati ya walio wengi nauliza , raisi, wabunge, madiwani hatuku wachagua kwa kura ya wazi sasa leo wanatuambia kura ya wazi , hiyo ni ya kwake yeye na maccm wenzake wasituhusishe sisi wananchi . Tunataka kura ya siri tuuuu. Au boresheni daftari la wapiga kura alafu wananchi tutaamua tunataka kura ya aina gani.