The word 'b.w.e.g.e' sounds relevant kwetu kwa maana ingekuwa kwenye watu makini wakianza kuongea masuala nyeti kama haya hawaendi hata lunch na wanaweza kukaa hadi usiku wa manane. Sisi dakika tano, "tunaahirisha bunge...". Inachosha na kuaibisha sana.
Mkuu, hilo la kupigana halipo. Nipo hapa ila watu wanataka kutetea misimamo ya vyama vyao
wabunge wa ccm ni washenzi na wahuni wakubwa
anajiita Sugu wa kuzomewa akijijua kuwa huwa anaongea upuuzi ndio maana anazomewa angekuwa na akili timamu angajiuliza kwanini anazomewa kuliko kujipa umwamba wa kuzomewa Bungeni.Lukuvi amaesema wanaozomea ni wale wa siku zote..... ila wajumbe wajue hata tundu lissu allikuwa mmoja wa washauri. sasa sijajua alimaanisha nini ama ndo kumaaanisha wapinzani ndio wanazomea
Lukuvi amaesema wanaozomea ni wale wa siku zote..... ila wajumbe wajue hata tundu lissu allikuwa mmoja wa washauri. sasa sijajua alimaanisha nini ama ndo kumaaanisha wapinzani ndio wanazomea
Bunge linaahirishwa hadi saa 10 jioni ambapo watakuja kwa utaratibu wa Bunge Maalum la Katiba. Wabunge wameambiwa wavae kwa utaratibu wa kibunge