The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 216
Unaweza kuhusi ni utani lakini ndio hali halisi! Mda huu tunavyoongea wako wanaonyesha segment ya orijino komedi joti akiwa anasakata rumba! Hivi hata kama wanasubiri mjadala uanze ndio waanze kurusha matangazo ya moja kwa moja, yani eanashindwa hata kualika wataalamu wakawa wanafanya uchambuzi kuvuta mda??
hapo lazma sitta akae hapo ndo tutapata katiba
Lukuvi amaesema wanaozomea ni wale wa siku zote..... ila wajumbe wajue hata tundu lissu allikuwa mmoja wa washauri. sasa sijajua alimaanisha nini ama ndo kumaaanisha wapinzani ndio wanazomea
Mkuu, sina hakika kama Simiyu Yetu ni miongoni mwa wale 201. Anaweza kuwa mbunge wa kuchaguliwa
Ni nini hasa kitatokea kama ikipigwa kura ya siri? kwa nini wasifuate tu alichoomba mwalimu oluoch
hapo lazma sitta akae hapo ndo tutapata katiba
Yaani huyo Lukuvi angejua ni jinsi gani namchukia yaani namchukia labda angenila nyama..jitu linajidai linajua kanuni kuliko mtu yeyote yule ndani ya bunge...
Hilo ndio suluhisho ila hakuna cha Sitta kwenye Bunge hili la KatibaMkuu tukiweka mbali ushabiki, hapo mwenyekiti alifaa kuwa Issa Shivji, kwisha kazi. Mengine tuseme tu kwa kua mfumo ndivyo ulivyo na miafrika ndivyo tulivyo.
Nasema hata sitta kwakuwa anatoka CCM bado ataendeleza laana za CCM
mbunge wa kuchaguliwa ana akili za hivi!?basi majanga
mrisho na lukuvi na anne ndo wameharibu mambo kabisa na nilisema hili toka mapema kabisa ila Chabruma akanipinga
Mkuu Tz kila kitu kinawezekana..
Yani huyu Simiyu Yetu !!!
Mkuu hili ni zaidi ya janga..
Mwenye kuijua Elimu yake atujuze Wakuu..
Tupo pamoja
Kuna kificho...samahani usije ukanikill ila kuna kitu kimejificha
Hawa wahuni wa CHADEMA watuharibia bunge letu
Nakwambia watu watapigana humu ndani we subiri tu.
Ashapigwa biti..Yaani leo sijamuona mwenyekiti mzee kificho yule nilomzoea. Au ndo naye keshafichwa. ama kweli ukikubali kificho utafichwa tu
Kama ban na nipigwe tu,lakini wewe kwa yanayoendelea kama unadiriki kusema hivi basi wewe ni kama yule aliyekuwa anahojiwa jana clouds fm!Wewe ni m.s.e.!Sijui mkoje nyie,,