Maridhiano nadhani ni makubaliano kati ya pande mbili zinazohasimiana ila naona kama imekua malazimishano na maburuzano. Kama unaangalia bunge hili utanielewa
Mwenyezi mungu tusaudie leo wapitishe hivyo vifungu viwili kwa maslahi ya taifa!sala zinazoombwa na viongozi wa dini pale bungeni ni nzito na zina umuhimu wa kipekee!
Mwenyekiti qnawataka radhi wajumbe kwa kuchelewa kuanza. Badala ya saa tano kamili, na sasa ni saa sita na robo. Amesema kuwa hiyo imetokana na mashauriano yaliyokuwa yanaendelea na kamati husika