Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Usiwe muongo ratiba ya Geita haikuwa leo alipita kuwasalimia tu subiri mafuriko ya Geita utashangaa.Uliza kilichotokea Geita mjini! Kashindwa kuhutubia!! Jamani muoneeni huruna Mzee wa watu! Anaumwa sana mwacheni apumzike!
Japo ni kawaida nabii huwa hakubaliki nyumbani!, lakini mwacheni Mungu aitwe Mungu!.
Pasco
Ni mpango wa mungu mkuu
uliza kilichotokea geita mjini! Kashindwa kuhutubia!! Jamani muoneeni huruna mzee wa watu! Anaumwa sana mwacheni apumzike!
Uliza kilichotokea Geita mjini! Kashindwa kuhutubia!! Jamani muoneeni huruna Mzee wa watu! Anaumwa sana mwacheni apumzike!
Umeona ee, kauli za Magufuli zinawatisha watu hata watendaji wa serikali.Japo ni kawaida nabii huwa hakubaliki nyumbani!, lakini mwacheni Mungu aitwe Mungu!.
Pasco