Elections 2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

Naangalia taarifa ya habari hapa mwanangu (kinder) ananiuliza Lowassa ameshinda? Nimemwambia ameshashinda!
 
Mimi nadhani LOWASA ni katili kupita kiasi ukilinganisha na Magufuli.

kama ni mpole asinge fanya hivyo chato nyumbani kwa magufuli ilighali anajua magufuli ana moyo wa nyama lakini pia magufuli anahuzuni mkewe kamsusa baada ya kusoma nyakati mapemaa.

LOWASA uwe na huruma kwani hata usipo piga kampeni ikulu umesha kwenda.
 
Come Oct 25, baada ya kusikia NEC wametaka kila mtu apigie kura alipojiandikishia fasta nimeahirisha likizo yangu,
 
Miguu tu sema kamkaba loba ad imepelekea kushindwa kupumua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…