Yaliyojiri European Champions League : Tottenham 0 - Ajax 1 (Semi Finals First Leg)

Acha kuota wewe.Vijana na hizi jezi zao nyeusi hawanaga msalia mtume.Spurs leo lazima akae.
Narudia kukwambia Ajax safari ya kutolewa ndio inaanza leo kwa kuchabangwa 2-1
 
Tottenham naona wameanza kipindi cha pili kwa kasi, wakiendelea na kasi hii lazima watamkalisha Ajax
 
Bonge moja la mechi!
Ajax wepesi tu.

Tutawaliza mbele ya familia zao kama man city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…