Waitara sio "waitala"Hauna tofauti na mwita waitala wewe
Hawa Ajax wanabeba hili dude
Haya amka sasa kushakucha uache kuota[emoji28]Liwake jua inyeshe mvua ajax anakufa!
NopeHata kwa Real Madrid mlisema hivi hivi pia[emoji87]
Acha kuota wewe.Vijana na hizi jezi zao nyeusi hawanaga msalia mtume.Spurs leo lazima akae.
Umeniamsha kabla ndoto haijatimia mkuu umeharibu kinomaHaya amka sasa kushakucha uache kuota[emoji28]
Kumbe unamjua vizuri tu mmeo?Waitara sio "waitala"
Ccm wahed wewe!
Ni kweli kabisa wamekosa matokeo ya darasa la 7 kwenda form one[emoji3]Wanapiga mpira lakini watakosa matokeo
Ni kweli kabisa, dakika ya ngapi ss hv Chifu[emoji848][emoji1787]Tottenham naona wameanza kipindi cha pili kwa kasi, wakiendelea na kasi hii lazima watamkalisha Ajax
Mume makes mumeo mbaye ni mimi.Kumbe unamjua vizuri tu mmeo?
Gemu over wakuu duh awa watoto sijui wanataka nn
Bonge moja la mechi!
Ajax wepesi tu.
Tutawaliza mbele ya familia zao kama man city
Kausha! Au upo kwa mkopo toka man city?Ni kweli kabisa wamekosa matokeo ya darasa la 7 kwenda form one[emoji3]
Second leg ndio utaona kipute kukali balaa
[emoji847][emoji23]Daah Jomba umebadili gia angani!!!
Bora atamngetoa sare armsterdam mnapigiga au mnasuruhuIssue ilikuwa ni kikosi kilikuwa na majeruhi
Ni hivi ajax bye
Pole sana Chifu[emoji56][emoji851]Umeniamsha kabla ndoto haijatimia mkuu umeharibu kinoma
Kausha! Au upo kwa mkopo toka man city?