Yaliyojiri heslb

witacha matiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
722
Reaction score
237
secure=lack of supportive criteria,,didn't acquare =hujapokea,,,:xo wale ambao course zao ni priority mnaombwa ku-appeal ila majibu yatatoka baada ya siku 90 haya ni majib ya mhasibu Joyce Mgaya ila hata yule ambaye kapata ila hakulzka unaweza appeal xo hata kama course yako non-priority unaweza omba lakini Mkurugenzi kaja jioni mimi bnafs nmepata bahati ya kuongea nae kasema kesho atakuwepo asubuh xo nitaenda mapema xana ili nipime upepo kuhusu nini ktatokea baadae :kama una swal uliza!
 
mimi nitaomba tu kesho hiyo ukienda usaidie kutuulizia kuhusu Continuos Applicants majibu ya mikopo yao yamekaaje
 
Naomba uliza maswali haya;Hizo fomu za kuappeal zinatoka lini? na je kwanini hawajatoa majina ya waliokosa mkopo na sababu za kukosa ili mtu ajitambue na kama atarekebisha bas apewe mkopo. Tunasuburi kusikia kaka.
 
E bwana muulize huyo mkurugenzi utaratibu wa appeals unaanza kufanyika lini na ni viambatanisho gani tunatakiwa kuwa navyo ktk zoezi hilo. Pia
Na kwa wale wenye priority programs walioomba kupitia NACTE na wamekosa mkopo inakuwaje?
 
Kesho hasubuh ninatka kuwepo ila cjajua ofc zao ziko wapi,na napanda gar za mwenge nashuka k2o gan?msaada mkuu
 
panda magari ya Mwenge shuka Sam Nujoma ila week hii watatoa ruhusa ya ku-appeal unaweza ukaweka death certificate km mzaz kafa o wamekufa o kastaf kaz ni kuwa labda kpnd unafanya applcation wazaz walkuwepo na xaxa wamekufa inabd uweke death certificate ;zaidi check me 0759824023
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…