Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Januari 10, 2022. Shahidi namba 8 aendelea kutoa ushahidi. Kesi imeahirishwa hadi kesho 11/01/2022

Uwa ni jaji mzuri sana tunafanya nae kazi anatendaga haki sana sema hii kesi ni ya kisiasa sana akitenda haki lazima aumie eg kumtoa mjini na kumpeleka mazingira magumu etc. Trust me tiganga ni jaji mzuri
Jaji anaweza kupelekwa kijijini???!!! Ni wapi kuna maeneo magumu ambayo unaweza kumpeleka Judge?
 

Ngamia amevunjwa uti wa mgongo kwa ubua.

Uamuzi wa leo unategeneza matundu makubwa katika kesi hii namba 16 ya mwaka 2021 iliyowasilishwa na Jamhuri.
 

Kazi kweli kweli kufanya kazi kwa mazowea ya kukamia bila kufuata PGO
 

PGO ! PGO !
 

Mashahidi wa Jamhuri leo walipata wakati mgumu sana kutokana na umakini wa mawakili wa upande wa utetezi.
 
Shahidi: Walikuwa ni Wahalifu

Kibatala: Kama Wahalifu Kwanini Mliwaachia

Shahidi: Kwa sababu hapo kuwa na Ushahidi Wa Kutosha.

Kibatala: Sasa Watu ambao Umekosa Ushahidi unawaita Wahalifu?

Shahidi: Kimyaaaaaaaaaa

Hatari sana utendaji wa jeshi letu la Polisi kutoa hukumu bila mahakama kuwatia hatiani watuhumiwa.
 
Jaji anaweza kupelekwa kijijini???!!! Ni wapi kuna maeneo magumu ambayo unaweza kumpeleka Judge?
Sasa mikoa tofauti na dar mwanza arusha na mbeya vilivyobaki si jijiji tu? au ulijua namaanisha vijiji vya tandahimba?
 
NATAFUTA KESI ZAKE NA KUZISOMA KUONA KAMA ZINA MANTIKI YA KISHERIA MAANA HUU USHENZI ANAOUFANYA ANAKUWA MTUMISHI WA SHETANI NA LANA JUU
Wakili msomi umejua nichekesha leo. Msomi tuachane na hizi judgements, msomi natamani mbowe atoke hata leo ila na wewe unajua jaji yeyote atakaehusika kwenye kesi hii kazi anayo maana ni kesi ya kisiasa ina maelekezo kutoka juu karibu na mbinguni😂
 
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama mnafatilia kesi ya Mbowe kwa shahidi huyu wa 8 nahisi

Utaona kuna upotoshwaji mkubwa sana Rais wa nchi anadanganywa na wasaidizi wake sana.

Alipohojiwa na BBC alisema wenzake na Mbowe wanatumikia vifungo tayari.

Shahidi wa leo anasema hajui kama kuna mtu ameshahukumiwa kwenye kesi hii.
Ukiangalia kwa haraka utaona kabisa kuna watu wanamdanganya mama mchana kweupe naye mama bila kufikiria anaenda kuuropokea huo uongo kwa ulimwengu.

Ehh bwana liponye taifa lako

Maendeleo hayana chama
 
Hvi pale bustani ya edeni Nani alidanganywa kweli
 
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama mnafatilia kesi ya Mbowe kwa shahidi huyu wa 8 nahisi...
Mama ni muongo muongo sana, ndo shida ya watu wa Pwani kuwapa madaraka makubwa ya kuongoza nchi. Nilimuona majuzi kwenye kitchen party anarembua jicho au siyo yeye?
 
Kuna tatizo ktk kesi hii mm naona kama jaji hatoshi ni kilaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…