Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe leo Januari 11, 2022. SP Jumanne Malangahe amaliza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa hadi Januari 13, 2022

Kwa Cross Examination aliyokutana nayo mpelelezi Jumanne jana na majibu yake ya "HAPANA, SIJUI" atakuwa ametibua yote waliyoyapanga kwa hao mashahidi wengine waliobaki. Jamuhuri inaaibika, jeshi la polisi linaaibika
Maneno waliyojipangia Ili kupata ushahidi feki yamewaishia,hizi hapana, sijui zitakuwa nyingi Sana awakujipanga kucheza comedy
 
Mungu awalinde washtakiwa na awape afya bora [emoji1374]
 
Redicusly? Khaaa Kwa kuandika kiswahili sanifu Kuna shida gani? Mbona tutaelewa tu kamani
 
Redicusly? Khaaa Kwa kuandika kiswahili sanifu Kuna shida gani? Mbona tutaelewa tu kamani
Kwanini unakua bothered na vitu vidogo vidogo kama spelling mistake, wa bongo na kuponda ndomaan hatuendelea
 
Chief Hangaya ndiye aliyesema kuwa Mbowe ni gaidi na alitoroka nchi, na wenzake walikwishahukumiwa. Hangaya ni mnafiki. Naye ni kundi moja katika kubambikia watu kesi.

Kama alitaka haki itendekeke kwa nini atoe hukumu kwa jambo ambalo hana uhakika?
 
Shahidi ni empty CD Yani Hana alijualo. Kibatala kathibitisha Hilo.
 
Chief Hangaya ndiye aliyesema kuwa Mbowe ni gaidi na alitoroka nchi, na wenzake walikwishahukumiwa. Hangaya ni mnafiki. Naye ni kundi moja katika kubambikia watu kesi.

Kama alitaka haki itendekeke kwa nini atoe hukumu kwa jambo ambalo hana uhakika?
Kibibi kuwa kiongo ongo haipendezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…