Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 22, 2021. Mahakama yatupilia mbali hoja tatu za utetezi. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 23, 2021

leo naona updates ya kesi hapa jamvini ni bila bila, kulikoni.
 
Hizi hoja mfu ndizo zinafanya Chadema wanashindwa kwa kila kesi. Mahakama siyo jukwaa la siasa. Acheni kuwahadaa watu na hoja mfu kama hizi kwenye masuala ya kisheria.
Ukiwa na akili mfu hakika yote kwako yanakuwa mafu,ndo maana umeweza ona hoja za chadema ni mfu.Ndugu unahitaji kuhuisha akili zako ndipo uweze ona hoja zenye uhai
 
Jitahidi kujipendekeza yawezekana ukapata hata kanafasi ka kufunga viatu vya wakubwa.Ila kwa kichwa hicho ukipewa kacheo hata ka ujumbe wa nyumba kumi yatakupata ya sabaya
 
Ndugu yangu
'Legacy'
sio uhalali. Ninadhani 'ulitamani' kuandika 'Legality' ambayo ndio inamaanisha uhalali.
 
Ndugu,
ungeweza kujibu hoja zake bila ya kuhitaji kutumia lugha yenye UKABILA wala MATUSI, ungekuwa umeweza kumshinda shetani anaeng'ang'ania kuendelea kukutawala. Amen.
 
Reactions: Pep
Wewe ubongo wako ni duni. Mara nyingi kweli serikali imetishia na wakanyamaza, Kama ilivyokuwa Sudan, lakini fukuto la watu likirundikana, cheche ndogo tu inawasha moto. Dhulma inayofanyika Kama wewe unanufaika nayo, Kuna siku hutanufaika nayo.
Mtaishia hivyo hivyo. Cheche moja cheche moja matendo 0+. Hao organizer wenu watawalimot toka huko waliko au nao watakuja kuungana nanyi!!
 
kabisa mkuu tena ni 100%......
Shida wa Tanzania wengi wetu, Maswala ya sheria hatujui kitu.
Na kadiri kwa nyimbo na mapambio, wanavyo zidi kumshinikiza hakimu afuate wanavyoona wao, ndivyo wanavyozidi kumuangamiza Mbowe sababu hakuna hakimu atakayefanya uamuzi kwa shinikizo la kundi fulani lenye kutaka maslahi yake yalindwe.
 

You are sick in the head watu wanaongelea vingine unaingiza ukabila smh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…