Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

Kesi iende hatua ya inayofuata ambayo ni watuhumiwa waanze kujitetea
Sasa kama uamuzi tayari ni huoo, kwanini asiseme Moja Kwa Moja kwamba watuhumiwa wataanza kujitetea?
 
Ndowo alijibu nini? Goodluck alijibu nini? Na huyu Swila alijibu nini? Hiyo kesi ya kujibu labda anayo SSH.
 
Habari Wakuu,

Leo 15/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3 baada ya Ushahidi wake kutokamilika jana

Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022​


Siku mbili usiku na mchana au work hours!!!? naona kama masihara
 
Wakubwa wako wakikulisha maneno laizma upainik kwa sababu sio maneno yako yale ni ya waliokutuma.hivyo shahidi kupanick ilikuwa jambo la muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…