Yaliyojiri katika tuzo za Ballon D'or 2021

Mambo ya akina Jecha hayapo Tanzania tu. Messi ni mzuri, ila lately hakuwa na ubora kumzidi Lewandowski. CR7 naye kaisha, amalizie mkataba wake hapo man utd, either aende Marekani au Uarabuni kumalizia mpira wake huko.
 
Ajabu hii mshambuliaji hatari kukosa ballon d'or
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…