Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Mkuu Nimechoka Wewe Acha Tu Na Huwezi Amini NINAUMWA Na JINO Pamoja Na FIZI Lakini Nimejikaza Tokea Asubuhi Hadi Sasa Saa 9 Kasoro 20 Hii. Naomba Ruhusa Yako / Yenu Nipumzike Sasa. Nawapongeza Wale Wote Tulioanza Kuchangia Uzi Huu Tokea Kukuche Hadi Sasa Kwani Wote Mmeonyesha UKOMAVU Na UVUMILIVU Bila Kusahau UZALENDO Wa Hali Ya Juu Sana Na Wale Pro Lowassa Poleni Sana Hii Ndiyo Siasa ( Leadership Hazards ) Hivyo TUVUMILIANE Tu Na TUSINUNIANE Humu Jamvini. Binafsi Nawapendeni Nyote Japo Najua Kuna Niliowakwaza Hapa Na Pale Hivyo NAWAOMBENI Radhi Sana Kama Siyo Msamaha. Alamsiki Guys!
Kama ni kweli Lowassa amekatwa ufalme wa shetani ccm umekwisha,hakuna mtu ndani ya ccm mwenye nguvu ya kupeperusha bendera ile na kushinda zaidi ya Lowassa,UKAWA tunachukua nchi kiulaini sana.Target yao ni membe,membe ataigawa vipande vipande Tanzania,hana akili huyu anataka taifa liingie OIC.
makufuli ana advantage sana
kabisa nepotism imetawala, hao wote wapo kwa ajili ya maslahi ya mkweere labda magufuli tu
Hv mnatoaga wapi ujasiri wakuandika uwongo namna hii ilhali ukijua kwamba ukweli utajulikana muda mfupi mbeleni??? We need to change
Jamaa anaondoka na chama chake.Hivi Mwinyi na Mkapa wameshindwa kumshauri JK kwa kusoma upepo? Ni dhahiri chama kinaweza kumfia mikononi.
2015 ilipaswa iwe zamu ya Zanzibar!, Jee kwa majina haya, jee bado kuna uwezekano wa Zanzibar kupatiwa haki yake?!.
Pasco
Wewe mburulaa kweli! Hapo watakao enguliwa ni Membe na Asha huku amina akiwa Makamu. Huyo Dogo January atalamba pengine uPM
2015 ilipaswa iwe zamu ya Zanzibar!, Jee kwa majina haya, jee bado kuna uwezekano wa Zanzibar kupatiwa haki yake?!.
Pasco