Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Mkuu fuatilia hao wamiliki wa hii smedia ni kutoka kanda gani na wanaegemea wapi toka mwanzo wa mchakato, hapo ndipo majibu yapo kwa nini wanafuta uzi flani, !!. (INASIKITISHA)
 
Acha tu waishie. Kusudi la Mungu kuruhusu JK awe madarakani ni iliCCM ife. Na huu ndio wakati haswa! Bye bye CCM!
 
CCM please tunaomba raisi mwanamke kama mlivyofanya katika nafasi ya Spika ya mama retu Makinda tutafurahi sana UKAWA...
Haha huu utakuwa utani wa kisiasa, haina tofauti na kufungia simba zizi moja na mbuzi!
 
Inategemea na spidi yako ya Internet. Mie napata HD.nasikiliza tuwabwage tu hapa
NIna internet yenye speed ya kutosha. Lakini hiyo link inagoma. Hata niki search kawaida siipati.
 
bwana mohd hivi ni kweli lowasa kahonga watu wote hawa?
Mkuu narudia tena kukuuliza utapenda tuvunjiane heshima? na mimi naweza kukuita vyovyote lakini naomba usikimbilie kwa Mods mara ya pili hii nakujibu kiustaraabu kama utapenda twende upendavyo sawa.

Karibu sana.
 
haya ni mazoezi ya netball au handball ???? KUELEKEA FAINALI YA football OCTOBER ??

coacher ni nani ???
 
JF rudisheni accessibility ya JF kwa guest? Kwa nini muda huu tu?, mbona siku zingine access ipo?

Ni hataari mkuu na mimi imennibidi ni log in maana ni tabu sasa zile nyuzi tamu tamu zote zimetiwa key.
 
yaaani huyu panya kiboko...hata baada ya kutolewa ndani ya mtungi bado anataka kurudi?...huyu ni panya kweli au nguchiro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…