Huyu mama hamna kitu anatetemeka mbona
Kujiita mwenyekiti yeye mwenyewe wewe unaona yupo sawa?
pinda sijui nae atagombea ubunge au ndo anastaafu siasa bila kupenda
Hahaaaa labda uoga pale si mchezo aisee. Afanyie mazoezi huko kuhemamama anahemahema tu hawezi kuwa Rais
Namuona EL amekaa kama kazimia vile duh! ogopa kukatwa!
Hana confidenceMama angu Amina Salum mbona hana pumzi....
My friend, have u heard of the word "sarcasm"?Huku Slaa huku Magufuli....patam hapo???
Huyu mama bure mama kabisa hana anachokiongea
Ukimuangalia bmkubwa vzur pale miguuni dzain kama anatetemeka hiv
Mama angu Amina Salum mbona hana pumzi....