stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Tunarudi kinyume-nyume? hii kalenda kwani ni ya BC?
list bila jaji na pinda nna mashaka nayo sana
kwanini asipochaguliwa Lowasa awe kakatwa lakini asipochaguliwa mwingulu iwe sawa tu? kwani Lowasa yeye ni nani hata hasipochaguliwa awe kakatwa? Nauliza tuu
Wanatafuta mtu atakayeweka historia ya chama kumfia mikononi
Watano wa ccm hawa hapa
Prof. Mwandosya
Mwigulu
Jaji Ramadhanu
Mizengo pinda
Dr Asha migiro.
Na tatu bora
Prof. Mwandosya
Dr. Asha migiro
Jaji Ramadhani.
Moja ya ccm ni
Prof mwandosya
Hayo ni yangu tuu. Tuonane J3
We need a choice of God and not Men. Whoever God gives favour we must accept and choice must be put aside. God bless you.
kwanini neno kukatwa lilikuwa linaelekezwa kwa lowassa tu?yaani wengine ni kutokuchaguliwa lakini kukatwa ni lowassa,kwanini?nauliza tu
Mkuu lala nahisi usingizi unakunyemelea!
kwanini neno kukatwa lilikuwa linaelekezwa kwa lowassa tu?yaani wengine ni kutokuchaguliwa lakini kukatwa ni lowassa,kwanini?nauliza tu
Wazee wa kubet kama kawaida wapo mzigoni.Watano wa ccm hawa hapa
Prof. Mwandosya
Mwigulu
Jaji Ramadhanu
Mizengo pinda
Dr Asha migiro.
Na tatu bora
Prof. Mwandosya
Dr. Asha migiro
Jaji Ramadhani.
Moja ya ccm ni
Prof mwandosya
Hayo ni yangu tuu. Tuonane J3
Duu ukweli ndio huu sasa haya ys riz yauongo kweli? Narudia ukweli ndio huu