Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

Ni Rasmi Sasa Kuwa Lowassa Amekatwa. Mtakao Niamini Vizuri Na Mtakaoona Natania Shauri Yenu Na Nyie Watu Wa Team Membe Hata Yeye Pia Hayupo Na Amekatwa. Taarifa Kamili Ni Kuanzia Saa 7 au Saa 8 Usiku Na Wanafanya Hivi Kwakuwa Kutakuwa Hakuna Watu Wengi Pale Maeneo Na Ulinzi Usiku Huu Umeimarishwa Maradufu Kupambana Na Wale Wahuni Wa Lowassa Waliopanga Kufanya Vurugu. Sasa Kikao Cha Kuwatafuta 3 Bora Kinaendelea Na Wakimaliza Tu Kuwapata Nape Atazungumza Na Waandishi Wa Habari Ambao Wameweka Kambi Hapo Hapo Ukumbini. Narudia Tena Kusema Si Lowassa Wala Membe Aliopita 5 Bora Na Timu Ya Lowassa Inataka Kufanya UMAFIA Kwa Kuhakikisha Kuwa Asha Rose Migiro Anapeta Katika 3 Bora Ili Wapige Kura Za Maruhani ( Za Kukomoana ) Ili Mwanamke Achukue Nchi Ila Wazee Wanajitahidi Kuhakikisha Nchi Anakabidhiwa Magufuli au Mwandosya au Sitta Na Katika Umakamu Imeshaamriwa Awe Jaji Ramadhan. So Far Hii Ndiyo Latest Yangu Kwenu Na Nina Uhakika Nayo 100%.
 
Kupitia twitter chademaMedia.

Tulisha sema na leo tunarudia tena! Sisi Chadema hatuko tayari kupokea mgombea atakayetemwa na ccm ili awe mgombea wa UKAWA.
 
Last edited by a moderator:

duuuuuh we jamaa maharage uliyokula ata hayajaiva kabisa
 
Ma CCM mmezidi kwa uchakachuzi leo siku ya 3 mnashindwa kupata majina 5 tu ya watu wenu tumekesha juzi, tukakesha jana na leo tena mnababaisha tu chukueni maamuzi siyo mnawafanyia watu mizengwe na kama kakosekana mtu humo tangazeni wagombee wengine lakini msituletee habari za mwenye kaya kutaka kuendelea kushika dola patachimbika hapa ata kuliko balaa la kumkata Lowassa make mtakuwa mnagusa maslahi ya taifa na siyo chama tena
 
MTU kama Pinda hakutakiwa kabisa kwenye hicho kinyang'anyilo
 
Kwani pabaya ni kwenye 5........
shida ipo kwenye 5 - 2 = ........
ndipo tarakimu zinapokuwa ngumu...........

Naomba ukalale nitakutumia inbox jamaa hawaeleweki hawa wa nataka na daku wapate kwenye kikao humu humu ndani
 
Inside CCM there is absolutely nothing like choice of God. CCM has failed us due to incompetent leaders, condoning corruption, nepotism, politicizing everything. With this bunch of looters expect nothing meaningful. CCM has to go forever.

Sasa Ndugu Yangu Mchakato Wa CCM Dodoma Unatutesa Mpaka Sasa Watu Hatujalala Na Tunahangaika Na Wewe Unakuja Na Post Yako Ya Kiingereza Chako Kigumu Je Huku Kama Siyo Na Wewe Kututesa Ni Nini? Wewe Hutuhurumii Mkuu? Acha Hizo. Huku Kubashiri Kwenyewe Tu 5 Bora Bado Kunatuhangaisha Humu Na Nadhani Unatuona Vizuri Sana Tulivyochukuwa Majukumu Ya Wapiga Ramli Leo!
 
Ngoja tuone
 

I always trusted you bro and this post is marked to increse my your reputation to me. Tuonane asubuhi
 
Baba yangu pekee amjuaye rais ajaye na kamwe hatatoka kaskazini
 

we uongo wako unafanana na kweli kdogo
 
hhhhhhhhaaahhh raha san
 
Mwaka wetu huu TEAM ENL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…