Yaliyojiri kesi inayomkabili Mbowe na wenzake leo Februari 4, 2022. Kesi imeahirishwa. Shahidi wa 13 kuendelea kutoa ushahidi Februari 7, 2022

Alikuwa anaongea na Form Four Urio, ambaye 'kidhungu' chake ni ”Who are you by the way.!”

“The lights are on but nobody’s home”…. hapa alitusiwa na hakuelewa.
Mahakamani unaongea na jaji
 
Quorum ya Mahakama ya wananchi nasi huku mtaani imetimia, kufuatilia mwenendo wa kesi hii ya kihistoria namba 16 ya mwaka 2021 iliyofunguliwa na Jamhuri.
 
Hivi kwa nini mnafosi serikali iachane na hii kesi,kwa nini msiache tu kesi ifike tamati ili tujue mbivu na mbichi?maana kama ni washtakiwa tayari wameshasota gerezani vya kutosha hadi wamezoea.
Hata mimi nawashangaa. Kama ni mchongo itajulikana mwishoni. Kuiondoa sasa hivi ndiyo kutaichahafua zaidi serikali.
 
Naona baada ya Urio, kuacha matundu Mengi, ilibidi shahidi wengine warudishwe shule ili kufukia haya matundu
 
Wanaenda faragha kuifuta kesi nini?
 
Jitahidi kuleta updates kama sulley alivyofanya vile juzi kwa urio homboy
 
Ngoja niende maliwato kwanza ntarudi baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…