Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 16, Nov 2021

Na kijiwe chetu kwa umoja wetu tumefika ktk wingi wetu kuendelea kufuatilia mwenendo wa kesi hii .

WAKATI JAJI AKIHAIRISHA KESI KWA MAPUMZIKO MAFUPI YA AFYA ILI IENDELEE BAADAYE, WANANCHI NAO WACHUKUA NAFASI HIYO KUPATA MLO WA MCHANA
 
Safi sana!
 
Kuna Malaika wa Mungu ndani ya chumba cha mahakama anawapiga kwa 'upofu' hawa mashahidi wa uongo walioandaliwa kudhulumu haki za mshatakiwa asie na hatia.
 
majamaaa ni weupe sana mpaka una jiuliza hawa nao wamesoma vyuo vyetu kweli ama walipita bangalore university kama yule wakili wa MIC
 
Aliingia na Desa Kizimbani
 
Mambo ya Dalasa la nne hayo unaingoa na Vimmbwa.Dalasan
 
Itabidi wnafunzi waruhusiwe kuingia na note book kwenye chumba cha mtihani
 
Jaji kasoma projo zake haraharaka akataka kuruka mambo yaliyopangwa siku ya leo. Anasema Ijumaa ilikuwa off record akumbushwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…