Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 16, Nov 2021

Wameambiwa wamkatae huyu mhuni, wanamchekea
 
Yaani kiutani utani jamaa anataka kuozea gerezani.
Mkuu za mwizi ni arobaini. Alimuua Chacha Wangwe, amemuua Aquillin, alilipua mabomu kwenye montano wao wa hadhala Arusha, amekuwa akichoma moto ofisi za chama chake kwa maksudi kabisa kwamba watanzania na mabeberu wake waamini kwamba CCM inauwa wanachama wa CDM na kuharibu ofisi za CDM. Sasa amemeza ndoano achaa ahangaike nayo.
 
Kuna watu wanamdanganya huyo mama kuwa magu alikuwa anapendwa sana, hivyo na yeye ameamua kuiga kila kitu ili na yeye eti apate mvuto! Ndio maana naye kaingia kwenye ulimbukeni ule ule wa kutaka media covarage kwenye kila kitu.
 
Jifunze kuandika kwanza Dada yangu.
 
Sasa maamuzi ni nini. Hapa hakuna kesi wanamaliza pesa zetu hii kesi ifutwe na Kinga and co. Wafunguliwe kesi ya matumizi mabaya ya ofisi. Sirro afukuzwe asipate hata pensheni yake.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Ikitokea hivyo mahakama yetu itakuwa mfano wa kuigwa kwa kutenda haki. Lakini bahati mbaya,kwa Tz hii ni ndoto
 
Kuna watu wanamdanganya huyo mama kuwa magu alikuwa anapendwa sana, hivyo na yeye ameamua kuiga kila kitu ili na yeye eti apate mvuto! Ndio maana naye kaingia kwenye ulimbukeni ule ule wa kutaka media covarage kwenye kila kitu.
Napataga wakati mgum kuwaelewa Binadam wenye uelewa kama wakwako ....Sina Nia mbaya !! ila ukweli hua mnaniumiza kichwa kuwaelewa
 
Wameambiwa wamkatae huyu mhuni, wanamchekea
wakimkataa watapeleka mahakama ambayo haina majaji au? nawashauri waendeshe kesi professionally tu, kwasababu majaji wote ni kitu kimoja, na kwa HIgh Court wengi huwa wanapenda kuwa professional ili waende Court of Appeal hivyo watafanya kwa haki kulingana na ushahidi utakaotolewa ambao hukumu ikiandikwa hata kina kibatala watapana nakala na proceedings wasome na waone kisheria wapi halali na wapi sio halali, wasiporidhika wataenda kukata rufaa Court of Appeal. kitendo cha kumkataa hakimu au jaji siku zote huwa kinaanzisha ugomvi kwa majaji wengine wote na kesi hiyo wakija watakuwa professional zaidi kama mlifikiri mtasaidiwa ndio wataweka wazi zaidi.

wenye akili huwa hawapamani na majaji, huwa wanapambana kuingiza hoja za kisheria ili jaji asipozifuata iwe sababu ya rufaa.

sasa shida, hadi leo timu ya kibatala bado hamjaamini kuwa wanazidiwa sana na mawakili wa serikali wale, kwenye criminal wenzao wako mbele sana na hawapigi siasa wao wanapiga hoja za kisheria tu na kunyamaza. hivi mnafikiri mahakama haina akili kesi ina macho mengi hivi halafu wawapige chini pingamizi wakati lilitakiwa kupokelewa? waambieni maawakili wenu watoe vifungu vizuri vya sheria, mahakama ni sheria sio siasa.
 
Hii kazi ya uwakili, uhakimu na ujaji inataka uwe mtu wa kusoma sana kumbu kumbu kali
 
MWINYI, MKAPA na JK wangevaa kipindi chao nadhani mngetafuta MARAIS wa nchi zingine ambao hawajawahi kuvaa MSEME.

YAANI MBONGO ANACHOJUA NI KUKOSOA NA KUNANGA TU
 
Lema amesena Mbowe anyamaze, amkatae Jaji out right maana hukumu anayo mfukoni toka Magogoni
Mawakili wa utetezi wamejikita kwenye sheria zilizopo na mifano na uhalisia wa tukio. Lakini Jaji anabase kwenye hisia na maoni binafsi ya mawakili wa serikali. Wakili wa serikali Kidando anasema......ni kweli sheria inasema hivyo....lakini sisi tunaona hitoshi kumwondolea au kumfutia ushahidi wake' Khaa! hata sisi wakulima wa bamia hapa Dumila Hatumwelewi Jaji Tiganga
 
Hata uhuru kenyata sijawahi ona.
 
MWINYI, MKAPA na JK wangevaa kipindi chao nadhani mngetafuta MARAIS wa nchi zingine ambao hawajawahi kuvaa MSEME.

YAANI MBONGO ANACHOJUA NI KUKOSOA NA KUNANGA TU
🤣🤣Magufuli nilimsamehe kwasababu nilijua ushamba ndio ulikuwa tatizo lake kubwa. Mama nilkfikilia ni mwelevu kumbe naye ni walewale. Lakini na yeye ngoja tu. nimsamehe bule maana uraisi wenyewe ni wa kuokota
 
atatapika utumbo mwaka huuu kazi anayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…