Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 16, Nov 2021

Lumumba fc na hoja zao😅😅
 
Mm nawaambia na kibatala na timu yake wajue, Jaji, Mawakala wa serikali na Mashahidi wanapataga supper pamoja na wanajadiliana. Anamopita wakili wa serikali ni njia hiyo hiyo anayopita jaji. Yaani ati kusema ninyi mje kusema hivi na mm nitakuwa kusema hivi na tukubaliane hivi. Hairisho lolote ni jaji kwenda kujipanga na mawakala wa serikali ili sasa mahakamani wasipishane. Hao mawakili ni mavuvuzela na anaepuliza ni jaji. Case closed Mboe jailed, Government advocates promoted,judge promoted too. Chairwoman is happy and thinks about 2025 elections
 
Umesikia lakini wanasheria wasomi wa serikali wanatoa material?yaani kibatala na wenzake hawajui sheria wanabwagwa kila siku hata hivyo vitu alivyokuwa navyo havikatazwi kuwa navyo
la tatu na nyie mko humu mnaharisha
 
Mapumziko gani haya ya kutoka saa saba hadi sasa saa 10 na ushee...?

Au mleta updates kachoka na ameamua kulala...?

Au mambo ni magumu kiasi cha kuelekea kumshinda Jaji huyu..?
 
Ni ushamba tupu
 
Mbona Jaji harudi?
 
Nitashangaa sana nikijua kuwa nawe ni ni msomi!!
 
Kwahiyo hawa Mawakili wa serikali wamethibitisha bila shaka kwamba Mbowe ni Gaidi aliyepanga kuweka magogo toka Mbezi Luis mpaka Uyole junction pamoja na kulipua vituo vya mafuta mikoa minne kwa JUMLA KUU ya 600,000?
 
Ni uelewa wako finyu tu mkuu ndio maana ulikuwa unaona ni ushamba
 
Iboya wewe NI kite sana.unaumia ukiona mipango yenu ikipanguliwa. Hebu likanye Domo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…