Yaliyojiri kesi ya Freeman Mbowe na wenzake, kesi imeahirishwa mpaka 16, Nov 2021

Kuna watu wanamdanganya huyo mama kuwa magu alikuwa anapendwa sana, hivyo na yeye ameamua kuiga kila kitu ili na yeye eti apate mvuto! Ndio maana naye kaingia kwenye ulimbukeni ule ule wa kutaka media covarage kwenye kila kitu.
Anadanganywa kwani yeye ni mtoto?

Kwani uongo kwamba Magu alikuwa anapendwa sana.?

[emoji23][emoji23][emoji23]Anzeni kumtukana na huyu kwamba anavaa nguo za jeshi ili aogopwe kwa kuwa ni dikteta..

Anzisheni ile hashatag yenu kwamba ni mshamba, kakulia kuchunga ng'ombe, nchi iko kwenye mikono ya washamba...

Vinginevyo tulieni dawa iwaingie.

Hahhahhahahaha.. Nacheka sana Hangaya anavyowanyoosha.
 
Iboya wewe NI kite sana.unaumia ukiona mipango yenu ikipanguliwa. Jibu likanye Domo lako.
yaani mnateseka bure mmemuweka kibatala wameshapanga na lissu wammalize mbowe nyie mnakesha roho zinawatetemeka huoni kwanini lissu haongei kitu ?
 
Ndiyo alichofanya
 
[emoji1787][emoji1787]Magufuli nilimsamehe kwasababu nilijua ushamba ndio ulikuwa tatizo lake kubwa. Mama nilkfikilia ni mwelevu kumbe naye ni walewale. Lakini na yeye ngoja tu. nimsamehe bule maana uraisi wenyewe ni wa kuokota
Ni uelewa wako finyu ndio maana unaona hivyo
 
❤️ SOMA NENO LA MUNGU❤️

📖 Isaya 10: 1 - 3

🔥1 Ole wao wawekao amri zisizo za haki, na waandishi waandikao maneno ya ushupavu;

🔥2 ili kumpotosha mhitaji asipate haki yake, na kuwanyang'anya maskini wa watu wangu haki yao; ili wajane wawe mateka yao, na kuwafanya yatima waliofiwa na baba zao kuwa mawindo yao!

💉3 Nanyi mtafanya nini siku ya kujiliwa, na wakati wa uangamivu, utakaokuja kutoka mbali sana? Je! Mtamkimbilia nani mpate msaada? Na utukufu wenu mtauacha wapi?

✳️ Ole Ole Ole waandishi na waweka amri kwa ajili ya kujipatia haki kwa kumnyanganya mtu huu aliyeumbwa na Mungu.

✳️ Mungu ni mpole kuliko tuwazavyo lakini anawivu juu ya watu wake

🙏🏼🙏🏼❤️ Mbingu Ipo❤️🙏🏼🙏🏼
 
Usikimbilie kuanzisha thread kama haupo mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…