Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikao cha kamati kuu ya CCM kilifanyika siku ya jumapili hapo ikulu. Wana JF naomba mwenye fununu ya agenda zilizojadiliwa na yaliyojiri kwenye kikao hiki atujulishe.
CCM ina kiburi sana, kama ilikuwa inapenda kutawala milele kwa nini isifanye mambo ambayo yangewafurahisha wale wenye uwezo wa kuwapa kipindi kingine cha ajira? (wapiga kura). Ona sasa inawabidi kutumia mbinu chafu, nguvu ya ziada na vitisho kuhakikisha wanaendelea kuwepo ilihali watoa ajira hawataki. Wakae pembeni na kujipanga upya.
Agenda:
........
4. Kupokea taarifa ya mama Salma
Ile aliyosema kuwa Vijana wengi hawaipendi CCM na wahamia upinzani????
Au ni Ipi maana hii ndio nzito zaidi kama mke wa kiongozi mkuu wa nchi amekiri kuwa Vijana wengi ambao ndio wapiga kura 70% ya nchi wanasupport upinzani iweje REDET na SYNOVATE waseme JK atashinda kwa 80% takwimi gani au kigezo gani walitumia kutupa tathimini hiyo??
Agenda:
1. Kupokea taarifa za Kampeni
2. Kupitisha malipo (final invoice) kwa REDET na SYNOVATE
3. Kufuta likizo zote za watendaji wa CCM
4. Kupokea taarifa ya mama Salma
5. Taarifa ya kutumia SMS kumchafua Dr. Slaa
6. AOB
una uhakika mkuu?Kilizungumzia jinsi maji yalivyofika shingoni na kuweka mikakati mipya ya kampeni katika kipindi kilichosalia. Nadhani hivi punde tutawaona majukwaani Wazee wa CCM waliokuwa wamekaa kimya wakilazimika kujitosa kuokoa jahazi linaloelekea kuzama. Nasikia JK na timu yake wamewaangukia wazee na kuwaomba wamsaidie!
Agenda:
1. Kupokea taarifa za Kampeni
2. Kupitisha malipo (final invoice) kwa REDET na SYNOVATE
3. Kufuta likizo zote za watendaji wa CCM
4. Kupokea taarifa ya mama Salma
5. Taarifa ya kutumia SMS kumchafua Dr. Slaa
6. AOB
Wazee wa CCM itakuwa vigumu kumbeba JK kwani wote wamestuka wanaona nchi inaendeshwa kifalme ni JK na familia yake. Jasho litamtoka mwaka huu. Alipashwa amwambie mkewe na mwanae wakae chini waache longalonga..JK utavuna ulichopanda hahahhaha ukipanda mahindi utavuna mahindi na si maharagwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.