[QUOTE
"Vijana wa sasa hivi kuanzia miaka 18 na kuendelea sijui wameigiliwa na nini vichwani mwao, huko wanakokwenda hakueleweki, kwa kuwa akinamama tumewazaa naomba huko katika familia zetu tuwakalishe chini tuwaase wabaki CCM," alisema Mama Kikwete.][/QUOTE]
Ajira kwa wageni badala ya wazawa ndizo sera za CCM zinazowafukuza vijana kutoka minyororo ya utumwa ya chama hicho