Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

#niffah .... Yani from today mimi ni team kibaaaa...

Hehee watu waacheeee dharau, dharau dharau mbayaaa.. Huu ni mwanzo tu.




ujue kuna watu wanajua mziki for real, but wengine ni wataalam wakujishebedua hata kama haimbi kitu ndo maana mwafulan alijua kujulikana kwa kuuza sura kwa p kutaficha ukweli. loooh
 
ujue kuna watu wanajua mziki for real, but wengine ni wataalam wakujishebedua hata kama haimbi kitu ndo maana mwafulan alijua kujulikana kwa kuuza sura kwa p kutaficha ukweli. loooh

Time will tell.. Acha le tamkoz aendelee kuwajaza ujinga. Wakishaona wanashindwa ndio wanaponda tuzo.. Wakishinda aaa swafiii.

Tuzo za watu waliponda mnooo.. Oo BASATA wameruhusu tuzo za kushindanisha bila kutizama utaalamu na bla blaaaa nyingi tu.. Haya na hizi zenye sehemu za utaalamu je?

Waendelee na dharau, halafu watapigiwa kura huko international. Nyumbani ni nyumbani, awali ni awali hakuna awali mbovu, usiache mbachao kwa msala upitao.
 
Kuna kipindi alisema kuwa ana muda mrefu sana hajafanywa mbele.

Hivi alipataga mtu kweli? Maana hakuleta mrejesho!!

Hii inaweza kuwa side effects ya lile tatizo!:becky:

Angekupa nafasi ya kumfanya ungekubali??
 
Umeandika maneno meeeeengi lakini ni pumba tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…