Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Fet bora avaage suruali tu maana flat screen haswaa halafu no hips
kuna fashions nyingi tu za magauni. hiyo style sio kwa shape yake. kakosa designer mzuri tu
 
ha ha ha h ha ha, kelele zimeanza.
 
watu wameipigia kura kiboko yangu kisa kiba tu ila mfalme ilistahili
 
Hiv wema yumo kwenye kushindania tuzo?? Rutashobolwa
 
Last edited by a moderator:
ommy dimpoz wamembania kumuweka kwenye categories wamemfariji kwa performance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…