Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Yani na hizo tunzo naona zinaenda fastaa. Watupe burudani kidogo
Teh teh teh sio next Ali Kibaka??
ommy dimpoz wamembania kumuweka kwenye categories wamemfariji kwa performance
fair enough so far
mwenzio hawa underground namjua yule aliyeimba
"sawa nendaaa nami ntaudanganya moyo utatulia"
Sasa je? Hatubahatishi sieee.
Naupenda sana huu wimbo.
Mambo bado kabisa,angalia usije ukakimbia jukwaa baadaeOyooooooooo, wallah nimevunja glass niliyokua nanywea juice.....
Wapi mtaa wa piliiiii?
Jide katupwa kule . ..
Kila aliye ndani star! nani ataleta mashamsh Wii?