Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Martin Kadinda kubeba mabegi ya Wema eti naye kashakuwa star
Hapo chachaaaaaaaa
nadhani hawajalipwa,maana inakera.
Yupo labda alichelewa kuja,maa tuzo ya kwanza kuna mtu alimchukuliaNa kashinda.
Jose mara nae sijamuona sijui kawaogopa kina Nyoshi?kwani usipochaguliwa kuna ubaya gani?
Fetty angepewa Adam angeweza.
Au hapo kwa Zembelwa angewekwa Mpoki au Joti au Masanja
Tuzo zimepooza utafikiri nchi ipo vitani