Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

Mzee Yusuf had anakeraas sijui wanampa kwa vile Ana wake wengi,kila mwaka yeye tu
 
Pamoja na kuwa ni mbili kwa mbili lakini ukweli utabaki palepale ,kichuguu kinalazimishwa kuwa mlima.
 
Kiba kachukua tuzo mbili na kwenye collabo team kiba oyeeeeeeee
 
Mshindi wa bongofleva alivyotajwa tu nimepiga funda moja kubwa la kinywaji sijai pigaga hivi
 
Hizi timu ndo zinaharibu sanaa ya bongo.
Diamond kafanya vizuri sana kwa nyimbo zake Kiba hakika mwaka huu ndo mwisho harudi tena
 
Kiukweli kwa mtunzi bora barnaba alistahiri,ndo mtunzi wa nyimbo za vanessa pia..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…