eti kiba kafanya niniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ???????????????
KingKiba forever, chibu ye aende huko huko Nigeria akabebe tuzo za wajinga ila huku Tz tumeshaamka kila mtu kingKiba woyoooooooooooo
Sio siri weusi wako vizuri nyimbo zao. Na hazichoshi. Wako vizuri na Joh Makini kadi deserve sana tu.
We mbwa kweli.
Fety leo ameamua kuichoresha flat screen yake dooh!
Jokate na lemutuz walivyo tokelezea..