We mbwa kweli.
Fety leo ameamua kuichoresha flat screen yake dooh!
Le mutuz kaenda msibani leo hapo alipita tu
Suti na hip hop vinanoga kinoma alafu chini ukipiga all star au adidas. Ukivaa airmax ni konyo
Kafikia G spot.
Great Live performance by Weusi
Huyo mwenzangu hapo huko aliko anatetemeka balaa...lol
Umeonae. Wamepiga bonge la show. Nidhahiri joh ameshindwa kwa haki. Kumbe kunasehem hatupishani Diva Beyonce
Msiba wa nani?
Hahah kama Snoop au Jigga zile suti uku wanarap"