Yaliyojiri kwenye mechi ya Yanga SC vs Ndanda FC

Yaliyojiri kwenye mechi ya Yanga SC vs Ndanda FC

Nauliza kama manji yupo hapo chang'ombe kushuhudia yeboyebo ?

Mungu saidia Yanga ifungwe. Amen.
 
sisi tumetoa sare na mbao ugenini...yanga kapiga kelele sana
 
Mkuu hakuna live coverage hk au mm nimekosea kudownload! Maana kuna vikosi vya timu zote bhasi
Nijuze njia mbadala km ipo.
nenda juu kushoto kuna menu click hapo then nenda live tv chagua azan sports 2
 
Mkuu hakuna live coverage hk au mm nimekosea kudownload! Maana kuna vikosi vya timu zote bhasi
Nijuze njia mbadala km ipo.
Ukisha pakua app nenda kwenye live tv alafu click azamsports2 ndio wanaonesha.
 
Azam 2 gem ya TZPrison na Mwadui! Sijui kwangu au[emoji52][emoji52]
 
Back
Top Bottom