Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
pakua azam app mkuuMwenye link ya kuangalia online naomba aweke hapa
Down load app ya azam tv playstore au appstore utacheki game.Mwenye link ya kuangalia online naomba aweke hapa
Asante mkuu! Ngoja niwahi hukoDown load app ya azam tv playstore au appstore utacheki game.
Yanga lazima alaleDraw Inawahusu!!
Sawa mkuu.Asante mkuu! Ngoja niwahi huko
Bado sana!..pasi zinanyang'anywa kirahisi. Waache kupoteza mipiraYanga 0:0 Ndanda dk 26 yanga wanakimbiza.
Mkuu hakuna live coverage hk au mm nimekosea kudownload! Maana kuna vikosi vya timu zote bhasiSawa mkuu.
nenda juu kushoto kuna menu click hapo then nenda live tv chagua azan sports 2Mkuu hakuna live coverage hk au mm nimekosea kudownload! Maana kuna vikosi vya timu zote bhasi
Nijuze njia mbadala km ipo.
Ukisha pakua app nenda kwenye live tv alafu click azamsports2 ndio wanaonesha.Mkuu hakuna live coverage hk au mm nimekosea kudownload! Maana kuna vikosi vya timu zote bhasi
Nijuze njia mbadala km ipo.
Haifanyagi kazi siku za mechi.pakua azam app mkuu