Yaliyojiri kwenye mechi ya Yanga SC vs Ndanda FC

Yanga imechukuwa point 3 muhimu, hizo porojo nyingine kapige na mashoga zako.
Mkuu kisebengo acha kutukana watu kwa hasira wa ushind mwembamba. Sema simba juu kwa sauti ya kiafande !
 
Kipindi kile cha Hans van Pluijm timu ikitoka na mpira nyuma wanakwenda kwa kasi mpaka golini,na walikuwa wakifika kwenye goal la adui unaona kabisa wachezaji wanavyoji position,lakini sasa hivi ni majanga kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…